Msambuliaji wa Kimataifa Bwana Samatta Jana Aliitoa Kimaso maso Tanzania Baada ya Kufunga Goli Pekee dhidi ya Team ya Burundi lililoipeleka Kilimanjaro Stars Robo Fainali Katika Mashindano ya Challenge yanayoendelea huko nchini Kenya....Dogo Noma Sanaaaaa
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment