Alichokiandika Sinta Kuhusu Jinsi Flora lymo anavyotangaza Biashara online:
Biashara ni matangazo na inapendeza sana ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano mie nauza wedding dresses kutwa natangaza humu na navaa pia, na yeye Flora anauza mother's union so mpeni deal masela akamate mahela na hii xmass inakuja anakusafirishia buree kabisa na fasta, Mother's union oyeahhh
biashara ni matangazo na na itakuzika wewe mwenyewe ukiitangaza na kutuonyesha mfano kama utapendezaje ukiivaa, sasa ushatangaziwa Mother's union sasa kazi ni kwako kuagiza white, pink or red light special.
ciao
nipo busy ku advertise my business wedding dresses |
support Flora Lymo kununua chupi aina ya mother's union ili umuonyeshe baby xmass iko tofauti.....
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment