Wakazi anakuambia ilikuwa kama mwaka moja uliopita wakati anarekodi mpaka leo kwenye location hio akakutana na Wiz Khalifa naye alikuwa anafanya joint yake ya Black And Yellow iliyompatia umaarufu mkubwa na kumtambulisha kwenye rap game duniani. Wakazi alishuhudia mzigo huo ukifanyiwa kazi. Picha Iko Hapa
0 comments:
Post a Comment