Mwanamke mmoja nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Gretchen Molanen (39) ameamua kujiua kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaomfanya atamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuishiwa na hamu ya tendo.Gretchen aliacha kazi ili apate muda wakutosha kujitibia lakini baada ya kuona hakuna ufumbuzi wa tatizo lake aliamua kujiuaImeelezwa kuwa mwanamke huyo alijaribu kupiga punyeto mara baada ya kukosa mwanaume wa kumshughulikia kila muda lakini haikumsaidia lolote.
Ugonjwa huo unaofahamika kwa jina persistent genital arousal disorder(PGAD)
unazichochea sehemu za siri kutamani kufanya mapenzi mara kwa mara bila ya kuisha hamu.

Trauma: The condition means the afflicted are physically but not psychologically aroused and can often only find relief after masturbating for hours upon end

Gretchen Molanen

Imeelezwa kwamba ugonjwa huo hatari unawapata wanawake tu, kulingana na mtandao mmoja wa kifaransa , unamfanya mwanamke kutamani kufanya ngono wakati wote, bila ya kujali nani anafanya naye tendo hilo, na hakuna kitu kinachoweza kupunguza mataanio hayo mpaka pale hisia hizo zitakapopungua zenyewe, hali hiyo hudumu kwa muda wa masaa kadhaa mpaka siku mzima.

Wanasayansi wamesema kwamba ugonjwa huo ni matokeo ya udhaifu na ulegevu wa mishipa ya sehemu za sira za mwanamke, na wala hauna mahusiano na matamanio ya kufanya ngono kwa kuvutiwa kimapenzi.

credt: nydailynews.com
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment