HATARI ....VIDEO:CHEKI YALIYOMTOKEA DEREVA MBISHI WA LORRY HUKO MOROGORO DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita ...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment