Muigizaji na muimbaji, Thelma O'khaz ameamua kuubadili kabisa muonekano wake wa awali na sasa ameuvaa muonekano mpya.

Picha hizi za mwanzo ni mara baada ya kujibadili toka Uafrika na kuwa Mzungu....



Muangalie Thelma O'khaz kabla na baada ya kujibadilisha hapo chini...




Unauonaje huu muonekano mpya na upi hasa unaoupendelea...?
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment