Jamaa alielezea kuwa boss wake huyo alipo ingia getini alikaa sana kwenye parking nikama vile alikuwa anambembeleza mtu aliyekuwa nae kuingia ndani, mara yeye mwenyewe aliingia ndani kisha kutoka nje na kurudi kwenye gari, mara nikaona gari inacheza, mara tena kidogo mlango wa gari ukafungulia nikamuona boss wangu akishughulika vibaya sana, inawezekana aliona ndani hapatoshi akaamua kufungua mlango na kushugulika akiwa nje. kumbe alikuwa ameshaniona wakati ule nikiwa nakula chabo. kesho yake asubuhi aliniita nakuniuliza ile picha niliyompiga iko wapi. mimi nilikaa kabisa kama sikufanya kitendo hicho ila aliamua tu kunitimua na ndio huo ulikuwa mwisho wa mimi kufanya kazi hapo kwake. Noma sana
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment