Msanii wa kike Na Mkali kwa Sauti yenye mvuto Mombasani ameshtua watu wengi kwa kuandika...... " leo nimerushwa na umeme kwangu nyumbani.hii nimara yapili kunitoke. ama inamaana kifo changu kitakua cha umeme?." Jambo ambalo liliacha mashabiki wake vinywa wazi na kumtakia hafueni . Kumbuka Ulimi Unauzito!
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment