Ukiwa kama mwimbaji ni vyema mashabiki wako wakikufurahishi basi kuongea ukweli kuwa wamekufurahisha ili kuzidi kuongeza upendo kutoka kwao.

Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva ambaye siku chache zilizopita alikuwa na show Jijini Nairobi, Kenya ambapo alifanya powa kama kawaida yake, Namzungumzia Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ambapo leo ameweza kuweka picha hizi kwenye blog yake

ya Wasafi/This is Diamond ambapo katoa big up kwa shabiki wake ambaye amemfurahisha na kufurahisha mashabiki wake zaidi kwenye wimbo wa Number One wakati anauimba na huyo dada kupanda kwa stage kuonyesha mbwembwe zake kwa sarakasi.

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment