Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigia simu na kumtukana sijui hata namba anapata wapi, yani ananikera kweli wengine unakuta ni marafiki zangu tu ila anawatukana na hata kuwatishia maisha, sijui hata nimfanyaje..?? Naombeni ushauri wadau..!
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment