Diamond ameamua kurudisha kwa Jamii kwa namna ya peke yake baada ya kuamua kutoa msaada wa kuwasomesha watoto wawili wakiume walioshinda kucheza wimbo wa My number one katika kipengele cha ngololo siku ya Tamasha la xmass lililofanyika leaders Club jijini Dar
Es Salaam

Diamond Amesema ameamua kuwapeleka watoto hao katika shule ya East Africa Internation ili wapate elimu bora, hata hivyo Diamond alisems ilibidi kuwatoa watoto hao katika shule walizokuwa wakisoma Awali na kuwapeleka katika shule hiyo ambayo yeye anaamini ina elimu Bora Zaidi

Lakini pia msanii huyo alichkua nafasi hiyo kushukuru uongozi wa shule hiyo kwa jinsi walivyowapokea watoto hao na kuonyesha ushiirikiano mkubwa sana

Watoto Hao Watasomeshwa Na Diamond mpaka pale watakapomaliza masomo yao
Wazo la kuwasomesha watoto hao ni baada ya Diamond kutangaza ni zawadi gani itamfaa mshindi wa wimbo huo ndipo washabik wakapendekezwa aendelezwe kielimu na badala yake washindi wakapatikana wawili ambao hatimae masomo yao yatakuwa chini ya uangalizi wa mkali huyo

Napenda sana kuwa karibu na watoto na,vijana wadogo
hivyo siku ya leo nikiwa kwenye shule ya E.A internation
school,nilipata fursa ya kuwa karibu na watoto
na vijana ambao ni wanafunzi ..kama
nilivyowahi sema,watoto na wanafunzi hawapati
nafasi ya kuhudhuria maonyesho yetu ama kuonana na sisi hivyo leo
tulifurahi,tulizungumza na kupiga picha za pamoja....

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment