Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?.

Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.

Wimbo huo ilikupata video nzuri ndio sababu iliyomfanya aende hadi  jela ambapo picha hizi ndipo zimepigwa.

Mashuhuda wanasema kwamba wafungwa wa jela hiyo walifurahi kumuona Jaguar ambaye alijichanganya pamoja nao

jaguar1



jaguar3

jaguar2

jaguar4

jaguar5
jaguar5

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment