Imekuwa kawaida kuwa scene za mapenzi kwenye uigizaji wa filamu za kibongo na duniani kwa ujumla kufanywa vizuri kuliko zote. Ila sidhani kama kuna mtu ambaye ni mpenzi wa bongo movie na hafahamu uigizaji wa Ray akiwa katika kipengele hicho.Ila licha ya yote kama ulikuwa hujapata kufahamu basi hakika scene hii ndio iliyokuwa ya utata sana kuliko zote zilizofanywa na msanii huyu Vicent Kigosi 'Ray'...!

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment