Akiongea na kipindi cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa usahihi.
Sikiliza mahojiano hayo hapa....http://old.hulkshare.com/tjcqooymf56o
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment