SONG: Tanzania Hip Hop Stars ft. January Makamba & Sugu – Haki
Haki ni wimbo uliyoimbwa na wasanii wasanii wa Hip Hop wa Tanzania kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Mawsiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Wasanii waliofanya makamuzi ni kama Quack Rocka, God Zilla, Mchizi Mox, Joh Makini, Fid Q, Prof. Jay, Kala Jeremiah, G.Nako, Nikk Wa Pili, Danny Msimamo, Mwana FA, na KalaPina, wimbo umetayarishwa na P.Funk ndani ya Bongo Records.

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment