Hii Ni kutoka kwa wachezaji wa ligi zinazofwatiliwa zaidi duniani, Ligi ya soka ya Uingereza na ligi ya Brazil. Wachezaji hawa wameunga mkono kampeni ya kupinga kutumiwa kwa makahaba watoto wakati wa kombe la dunia.
Watatu kutoka klabu ya Chelsea ambao ni  Frank Lampard,Oscar na Ramirez wamekubali kuunga mkono kampeni hiyo kinachofanya kazi na  kitengo cha kukabiliana na uhalifu  wa binadamu nchini Uingereza .
mimi 2
Kampeni hii inazuia mashabiki kutoka Uingereza kulala na msichana mwenye umri chini ya miaka 18 na kumlipa.
Fahamu kuwa  Brazil linakadiriwa kuwa na nusu ya milioni ya idadi makahaba watoto wanaosimamiwa na magenge ya uhalifu na kuna hofu kwamba idadi hiyo itaongezeka wakati wa michuano hiyo
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment