Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine ambazo walikuwa wana dai na hivyo Serekali kuwaachia Huru....Big UP Kaka
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment