MSANII LULU WA BONGO MOVIE AAMUA KURUDI SHULE.. Kweli elimu ni bahari na wala haina mwisho, picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni wa kijamii inamuonesha msanii huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment