Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27, tatizo nililonalo ni kwamba kila nikifanya mapenzi na mpenzi wangu niliyenae napata Maumivu makali sana hasa kuanzia round ya 3 na kuendelea huwa si enjoy kabisaa.

 
Mpaka inafika wakati mpenzi wangu anaogopa kuendelea na hicho kitendo na pia inamuthiri kisaikolojia maana akishaniandaa akisema aingize tu anapata wasiwasi kama naumia na hapo hapo uume wake unasinyaa. Hata mimi Kisaikolojia huwa ninakuwa na wasiwasi najua akiingiza tu napata maumivu badala ya utamu,
Nisaidie kunishauri hasa Tatizo ni nini? kwakweli Mpenzi wangu amejaliwa kwa maumbile na Mara zote huwa Tunatumia kondom hatuwaji bila kondom, japo kuna wakati huwa siskii maumivu sana na enjoy tu, nipo kwenye dilema, sijui ni hizi kondom au ni maumbile. I used to enjoy making love kabla ya huyu nilienae lakini naamini naweza kuendelea kuenjoi tena."
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment