Usiku wa Kuamkia Tarehe 27 Feb 2014 tumekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi.
Sammisago.com imethibitisha kuwa picha hizi zimetokana na scene za filamu wanayoigiza pamoja na kuwa Hemedy sasa ni Mwanaume wa mwanamke mmoja tu. Binti Huyu Anaitwa Mounah. Hii Picha Wakiwa Pamoja.
HII NDIO PICHA YA HEMEDI NA MPENZI WAKE WA UKWELI
Hizi Ndio Picha Akimpa Busu Najma
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment