Mkubwa Fella ameamua kufunguka juu ya swala la Ostaz Juma Namusoma kumdharilisha msanii aliyekuwa anamsimamia kazi zake PNC, kitendo cha udharilishaji kama wengi wanavyokiita ni pale msanii PNC alipojua kosa lake na kuamua kuomba radhi kwa bosi wake ili arudi kundini na aendelee na kazi lakini bosi huyo Ostaz alimrekodi na kisha kuweka picha na video mtandaoni. Soma alichokisema Said Fella juu ya issue hiyo
Nanukuu alichosema Fella "Sijaielewa hii picha wadau hivi nikweli tz au nje ya nchi shino na meneja wake wa mziki huu wa bongo frevar jamani mnao hitaji kujifunza umeneja naomba mnitafute niwafundishe busara kuusu mziki kweli vijana wetu (wasanii)kuna mda wanazingua lakini tusitumie nguvu ya mifuko yetu kudhalilisha wenzetu milango nimeiacha wazi mje mjifunze"
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment