Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava leo hii Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM leo hii na JK kwenye Sikukuu za kutumiza miaka 37 ya CCM Mjini Mbeya.......
CREDT:Udaku Special Blog
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment