teamukwelinauwaziWatu
wengine washamba sana ulisikia wapi watu wakiachana ndio hawaongei na
watu wengine ... Hizo ni habari Za kizamani sana tena sana !! Hawa watu
wameishi vizuri hawana matatizo na wanaelewana sasa kama dangote
kaachana na penny ndio penny asiongee na esma ,halima kimwana,Queen
darlin na Mama yao ?? Kwani wao waligombana nao nyie vipi kupendwa na
ndugu wa mume hua ni bahati ni wachache wenye hizo bahati.. Na Pia
hatujui nini kinaendelea hapo jamani sisi yetu ni macho kutazama movie
ikiendelea !! Mengi yapo nyuma Ya pazia ... Ni vitu
vinaendelea hii sio movie Bali ni series ..
Hawa watu au hii group yao haiongei
wala kujibu kitu ni watu wanaojua wanafanya nini Halima ni rafiki mkubwa
sana wa dangote kushinda hata esma dada wa dangote arafu ni kipenzi cha
penniel huyo esma dada wa dangote ndio nr one kipenzi wa penny huyo
Queen darlin ndio best wa penny Mama yake Naseeb ndio usiseme harafu
sasa wale madansa na wapiga picha hadi madirector ni wapo na penny
nikutonye tu esma anaishi na penny ile Nyumba ni dangote kailipia Sisi
tunasubiri next season Ya hiyo series.. Kwani unafikiri nini si nini tu
huyo wema mbona hapelekwi huko kwenye hizo shughul basi kama sio mapenzi
Ya biashara ni nini ??! Tunajua dangote yupo njiani kuachia nyimbo yake
Mpya na tunaisubiri wema aendelee kupeperusha kibendera maana ndio
msukule wa dangote hapo alipo ni zezeta..vinaendelea hii sio movie Bali ni series ..
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment