Umevaa nguo fupi mwenyewe na ulivyotoka
nyumbani ulijiona umependeza umefika njiani unaanza kuhangaika kuishusha
kuziba mapaja au sehemu iliyo wazi, kwani ulivyo vaa hukulijua hili?
Kama umea amua kuvaa vaa na ujiamini, ukianza kuhangaika nayo unaoneka
muhuni , au mshamba. Vaa kitu kitacho kufanya uwe comfortable. mwili ni
wako nguo ni zako pia maamuzi ni yako kwanini upate shida..???
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment