Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani
Akizidi kunenguaMzuka ulipommpanda aliamu kuparamia ukumbi wa ukumbi huo na kunengua ambapo baadae mtandio aliovaa ulimwagika na kila kitu kuonekana 'live' bila chenga,kutokana na kuzingatia maadili nimeshindwa kuweka picha hiyo
Dj aliyekuwa akimporomoshea muziki mke huyo wa mtu,akiwa bize
Picha yenyewe inaongeaKiongozi wa kundi hilo Omary Tego akistuika baada ya wanenguaji wake kufanya mambo ya ajabu,ya kuchezeana makalio mbele za watu
Omary Tego akishuhudia live Mama Tenetemente akifanya mambo ya ajabu
MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge mkoani hapa.
Mwanamke huyo aliyekiri mbele ya mwandishi wa habari hizi kwamba ni mke wa mtu na kwamba mumewe amebariki kufanya kazi hiyo,alimwaga radhi hiyo mbele ya watu walika mbali mbali waliokumo kwenye ukumbi huyo siku ya ljumaa iliyopita akiwa sambamba na kundi hilo linaloongozwa na mwimbaji wa nyimbo za Pwani Omary Tego.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment