
Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine.
Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment