Habari wa Mapenzi, nina boyfriend wangu nampenda sana ila hua sina mizuka nae sana kitandani , hata akiniomba nahisi kero napenda sana kua nae karibu ila si kitandani.ni fanye nini kuitoa hali hii?
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment