Wazee Nina Tatizo la kumwaga haraka nikiwa na mwanamke .saa zingine hata kabla sijaingiza ,,najikuta zimeshatoka ..na zikitoka siwezi tena endelea na Tendo ...nini sababu ..na dawa yake ni nini?
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment