Habari zenu wakuu. naombeni uzoefu wenu katika jambo hili maana inanitokea kila mara ninapomaliza kufanya tendo la ndoa siku mbili au tatu kuendelea viungo havifai! Misuli ya tumbo balaa, mikono duuu! mapaja ndo kabisaa! hili ni tatizo langu au nanyi wadau inawatokea? Pia nikili kuwa si kila siku ila kwa wiki mara mbili au tatu nafanya mazoezi ya viungo kuweka mwili wangu sawa kutokana na muda ninaopata. Pia nikili kuwa tendo la ndoa linakula nguvu nyingi sana ila ndo iwe hivi? Pia nikili kuwa mimi si mmojawapo wanaotumia video za sarakasi za ngono maana wakuu humu hamchelewi kusema matatizo ya move na mitindo yake!
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali
TUPE MAONI YAKO HAPA:

0 comments:
Post a Comment