Mdau: Hawa Ndio Wanawake wa 5  Wanaoongoza kwa Uzuri Bongo Movie
Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni 1.WELU SENGO,2.YOBNESH YUSUPH(BATULI),3.WEMA SEPETU,4.ELIZABETH MICHAEL (LULU) ,5.IRENE UWOYA. Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao na mimi mwenyewe toa maoni yako.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment