Sasa ndugu yangu NUHU umezidishaaa khah...Tutamwambia Shishi aache kukupiga TUKUPIGE SISI maana unatuvurugaaaa kwakweli halafu HUKOMI,unaangusha 1 baada ya lingine kudaadeki... Ipo siku utaumwa Kichwa halafu utaandika "Iam going to table the tablets of head pain" (Naenda kumeza dawa za maumivu ya kichwa) WALLAH TUTAKUPIGA!
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment