Hii picha ni ya mwanafunzi akiwa darasani,Angalia pozi lake....Anavyoonesha alikua anawatega wanaume huyu, sijui kama kuna shule tena kwao japo mzazi anajua mwanangu yupo shule. Je, ni sahihi kwa wanafunzi wa kuvaa nguo za namna hii haswa wanapokua madarasani............!?
Jirekebisheni .
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment