Kala Jeremiah akiwa na kundi lake ameanza safari kuelekea Morogoro kupeleka tuzo kama alivyoahidi. Katika msafara huo anaambatana na washkaji zake katika safari hiyo. #KALI ZA KITAA itaendelea kukujuza msafara mzima ikiwa ni pamoja na picha za matukio mbalimbali katika shughuli hiyo
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment