Picha 5 za Kala Jeremiah akiamkabidhi mama mzazi wa Mangwair tuzo yake Mama mzazi wa marehemu Albert Mangweha akiwa ameshikilia tuzo aliyopewa kwa niaba ya mwanae, tuzo hii aliipata msanii Kala Jeremiah kwenye tuzo za Kilimanjaro ikiwa kama tuzo ya msanii bora ya Hip Hop 2013-14 LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU. TUPE MAONI YAKO HAPA: LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI
0 comments:
Post a Comment