
Msanii kutoka Tanzania
TID ambae kwa sasa yupo katika ziara yake ya kimuziki jijini
London, Uingereza ambapo hadi sasa amesha piga show kadhaa katika sehemu tofauti zilizopo nchini humo.
Mpya kutoka
TID ni kuwa siku za hivi karibuni alipata mualiko na kufanya mahojiano katika kipindi cha
Sporah Show ambacho huandaliwa na kurushwa kutoka nchini Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha mwanamuziki
TID alivyokuwa akifanyiwa mahojiano hayo na mtangazaji
Sporah….





TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment