clip_image002Mkasa uliotokea nchini Congo ..Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa  kujininginiza  kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa  mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada
ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana  basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga. Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment