Ben Pol ametoa orodha ya nyimbo 10 za Bongo Flava zilizotoka mwaka 2013 na ambazo yeye anaziona bora zaidi. Kwenye orodha hiyo, Ben Pol amezitaja nyimbo mbili za Weusi ukiwemo Nje ya Box ambao kwake ndio wimbo bora zaidi huku wimbo wake Jikubali ukikamata nafasi ya tatu. Hii ni top 10 yake.
1.Nje ya Box – Weusi
2.Joto Hasira – Lady Jaydee
3. Jikubali – Ben Pol
4. Kesho - Diamond
5.Tupogo Ommy Dimpoz
6. Yahaya – Lady Jaydee
7. Bei ya Mkaa – Weusi
8. Young Killer – Nyimbo zake zote kali
9. Pesa – Mr Blue
10. Mama Yeyoo – G-Nako ft Ben Pol
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment