Katika pitapita zangu huko Instagram nikakutana na hii..huyu dada kafungua account hii na kwenye profile yake kajieleza kama kwenye picha inavyoonekana hapo juu..
Kilichonishangaza ni kwamba anadai yeye ni modo lakini picha alizoweka zimepitiliza hata kwenye huo umodo yaani kajianika mtupuu!
Kwa maelezo yake yeye ni mtanzania sasa bado nashangaa tamaduni zetu hatuna utaratibu wa kujianika kimauzo namna hii jamani hii si biashara inatafutwa kinguvu maana na namba za simu kaweka!!
Kingine anadai ni mama wa mtoto mmoja..kama ni kweli ni mama ina maana hafikirii mtoto wake siku za usoni akikumbana na picha za mama yake mtupu hivi atajisikiaje na kujifunza nini? Hivi tunatengeneza kizazi cha aina gani? Jamani kina dada tubadilike tunajirahisha sana

TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment