Leo katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na picha hiyo hapo chini kutoka kwa msanii Young Killer mwenyewe anapenda kujiita Handsome Boy asiye na matunzo. Maelezo katika picha hiyo yalisema ''ASANTE.......MZIK mungu barik kazi ya mikono yangu'' na katika picha hiyo alikua kakaa juu ya gari aina ya Toyota IST. Nikajiuliza je ni kweli Young kanunua gari au alikua akimaanisha vingine. Kama ni kweli gari ile ni yake basi huuni mwanza mzuri kwake na ni kithibitisho tosha kua mziki wa bongo unalipa. Team Bongoclan inafanya jitihada za kumtafuta ili atujuze zaidi. Mungu ambariki sana Young Killer




TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment