Hakika  mapenzi  hayana  heshima…Baba  mtu  mzima  mwenye  mke  na  watoto  amefuamiwa  live  na  mdau wa  Domo Langu akingonoka  kichakani  na  binti  yake  wa  kazi….

Kwa mujibu  wa mdau  huyo, wawili  hao  walifuniwa  jana  mchana  katika  kijiji  cha  mkwaju  na  kisha  wakafikishwa  ofisi  ya  mtendani  wakiwa  chini  ya  ulinzi.

bofya hapa
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment