Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu
anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo.Akiongea na PAPARAZI chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
-Xdjayz
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment