Jamaa alijikuta anapata kichapo kikali kutoka kwa mke wake baada ya kumuonyesha jeuri ya kutorudi
nyumbani mapema na kuchelewa kila siku huku akiwa amelewa, siku moja alirudi usiku huku akitukana mwanamke alichuma fimbo na kuanza kumtembezea bakora kama mtoto. Pia inasemakana jamaa amegeuzwa beki tatu wa huyu mama wa kumfulia nguo zake na kuosha vyombo.
Chezea mapenzi wewe......
TUPE MAONI YAKO HAPA:
MUNGU WANGU MFUME JIKE UMESHIKA KASI
ReplyDelete