Bunge la nchi hiyo limeupitisha muswada unahalalisha bangi kwa kura 16 kwa 13.
Chini ya sheria hiyo mpya, bei ya gram moja ya bangi itakuwa ni dola 1 tofauti $1.40 kwenye soko haramu.
Uuzaji na utengenezaji wa bangi utaratibiwa na mamlaka itakayowekwa na serikali itakayoangalia database ya wananchi wenye umri unaoruhusiwa kutumia bangi.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment