Waziri wa Maliasili na utalii, mh. balozi Khamis Sued Kagasheki ametengaza kujiuzulu nyazifa yake ya uwaziri wa maliasili na utalii....
Mh. Kagasheki amelieleza bunge kuwa yeye hakuomba kuteuliwa kuwa waziri, bali alichaguliwa na rais mwenyewe kwa ridhaa yake, hivyo ataandika barua rasmi ya kujiuzulu kwenda kwa mh. Rais.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment