Boyfriend wangu ambaye tumekuwa kwenye mahusiano kwa kipindi sasa ameniambia angependa kunichumbia ila hana hela za kutosha kuweza kununua aina ya pete ya uchumba ambayo msichana wake angependa aivae.
Amesema kama ni muhimu sana kwa sasa basi ni vyema kwangu kununua hiyo pete na atakuja kunilipa baadae.
Je nifanye hivyo au nisifanye? Mchango wako ni muhimu kwangu...
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment