Leo katika blog moja maarufu hapa Tz Msanii wa Mtanashati Entertaiment anaejulikana kama PNC amehojiwa na kusema kuwa kwa sasa hajielewi kama bado yupo Mtanashati kwani hakuna kinachoendelea kwani Boss wa kundi hilo yupo busy na mambo mengine ...PNC amelalamika na kusema kuwa mziki wake kwa sasa umesimama as hakuna wa kumsimamia japo inajulikana yupo Mtanashati...

Hiyo habari imenifanya nijiulize maswali mengi sana ......Mtanashati walianza kwa nguvu sana kwa kuwachukua wasanii kwa mikwala mingi kama mnakumbuka issue ya Dogo janja alipotoka Tip top Watanashati walimsafirisha kwa ndege Dogo janja kutoka Arusha pamoja na kumpa ahadi kibao ...Lakini Nahisi kwa sasa Dogo Janja Anaimiss Tip top ....Maana nae nikama Yupo yupo tu .....Sina uhakika na hao members wengine sijapata muda wa kuwafatilia kazi zao

Ostaz Juma Vipi ...Mbona ile mikwara yako hatuisikii tena ? ama umebadili Biashara?

TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment