Ni mara nyingi tumekuwa tukiafahamu kwamba Wanaume wengi wa Kiafrika huwa wanawapenda Wanawake wenye miili mikubwa, na sio kama wale mamodo wembamba wanaowekwa kwenye makava ya majarida mbalimbali ya za Magharibi.
Hebu nieleza ni kwa nini Wanaume wengi wa Bongo na Afika kwa ujumla hupenda Wanawake wenye shepu na makalio makubwa…?
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment