Ni ukweli usiopingika kwa maana ya ukweli unaofahamika, kwamba, binadamu hasa wanawake kwa kupitia sura zao na ukiwaangalia unaweza pata tafsiri ya jambo au kitu fulani kwa maana fulani, kitu ambacho wakati mwengine kwa mtu mwengine hasa mwanaume hushindwa kupata tafsiri ya kweli juu ya alichokiona.



Kwa mfano wa sura kwenye hii, ukijaribu kuiangalia inaweza kuleta mkanganyiko wa mitazamo kutoka kwenye vichwa vyetu kimawazo hasa kwa wale wenye mitazamo hasi.


Wengi ambao niliwashirikisha awali wamenipa mitazamo inayoshabihiana, nami, kama vile haitoshi nikaona ni bora niwashirikishe nanyi wadau wangu kuona nini hasa ambacho mnaweza kukifikiria ikiwa ni kama fumbo.


Hivyo basi, kwa lolote unalolidhania au kulifikiria juu ya picha hii, ujaribu kunipa sababu ya kwa nini unadhani hivyo unavyodhania juu ya tafsiri yako.
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment