Mohamed Abdalah
         James Kinyambe mchekeshaji mahiri Bongo.
  Msanii aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda.
Habari za uhakika zilizofanywa na webesite hii baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe. 


. Mohamed Abdalah
Paparazi wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo alifumaniwa wakiongea kwa sharti  ya kutotajwa majina yao walisema" Huyu jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.Mwandishi wetu alimtafuta Kinyambe kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na wala hajawahi kufumaniwa huo  ni mpango wa kumchafua.
chanzo:xdjayz
TUPE MAONI YAKO HAPA:
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI

0 comments:

Post a Comment