Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu. Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo. Mmenipataaa..!!??
TUPE MAONI YAKO HAPA:
0 comments:
Post a Comment